Thursday, June 5, 2014

MATOKEO YA ZOEZI LA COMPUTER KWA VITENDO,

MATOKEO YA ZOEZI LA COMPUTER KWA VITENDO,
(INTRODUCTION TO INFORMATION TECHNOLOGY)
Pongezi kwa matokeo ya mtihani wa computer kwa vitendo uliofanyika kwa siku ya tarehe 3 hadi 4 ya mwezi  JUNI 2014
ZOEZI LILIKAMILIKA NA MATOKEO YAPO TAYARI KWA WATU HUSIKA WOTE WALIOFANYA ZOEZI
MATOKEO YA WASTANI WA KUNDI PAMOJA NA JUMLA YA ALAMA KWA KILA MMOJA ZITAWEKWA KWENYE BLOG HII HIVI PUNDE ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII
elishalomay.blogspot.com
mgawanyo wa alama upo kama ulivyoelezwa darasani ambapo zoezi zima lina Jumla ya alama 20 ambapo alama 16 zitatokana nawastani wa wanakikundi wote na alama 4 zitatokana na kazi au juhudi za mtu binafsi
Jumla ya alama hizo kupatikana kwake ni kutokama na alama wanakikundi walizopata kila mmoja juu ya 30
Mfano :
Kundi lenye watu 12 na alama zao kama ifuatavyo:
SN
JINA LA
ALAMA
WASTANI
 ALAMA ZA KUNDI/16
ALAMA BINAFSI/4
JUMLA/20
4
MEMBER 4
30
20.75
11.07
4.00
15.1
5
MEMBER 5
30
20.75
11.07
4.00
15.1
8
MEMBER 8
30
20.75
11.07
4.00
15.1
10
MEMBER 10
30
20.75
11.07
4.00
15.1
11
MEMBER 11
30
20.75
11.07
4.00
15.1
1
MEMBER 1
26
20.75
11.07
3.47
14.5
6
MEMBER 6
22
20.75
11.07
2.93
14.0
3
MEMBER 3
20
20.75
11.07
2.67
13.7
7
MEMBER 7
15
20.75
11.07
2.00
13.1
9
MEMBER 9
8
20.75
11.07
1.07
12.1
2
MEMBER 2
6
20.75
11.07
0.80
11.9
12
MEMBER 12
2
20.75
11.07
0.27
11.3

JUMLA
249




WASTANI
20.75



Endelea kutembelea ili kuona alama zako na wastani wa kundi lako 


No comments:

Post a Comment